忍者ブログ
[1] [2] [3] [4]
×

[PR]上記の広告は3ヶ月以上新規記事投稿のないブログに表示されています。新しい記事を書く事で広告が消えます。

2e240f7djpegName : Benedict Balayinga

Age : 84

Country : Tanzania

Occupation : Retired (a former agricultural officer)

Message :  Mwanzoni uzalishaji wa chakula ulikuwa mkubwa. Ingawaje uzalishaji umepungua sasa. Tunahitaji kurutubisha ardhi,lakini hatuna ng’ombe wengi watupatie samadi. Hatuna pesa ya kununulia mbolea. Kupanua mashamba yetu tunahitaji kuajiri watu wa kutulimia.Lakini pia hatuna pesa.

Je tunawezaje kupata mtaji?

In the past, the food production was high. However the harvest is decreasing now. We need to fertilize the soil, but we don’t have a lot of cattle to get manure. We don’t have money to buy fertilizer. To extend our farms, we have to employ people to cultivate. But we don’t have money. How can we get capital?


 

お名前:Benedict Balayinga

年齢:84

出身国:タンザニア

ご職業:元・農業関連職員

メッセージ:かつては食糧生産高が高かったが、現在は収穫量が減っています。土壌を肥沃にする必要があるが、肥やしを得られるほど家畜が多くなく、化学肥料を買うお金もありません。畑の面積を広げるには、耕作してくれる人を雇わなければなりませんが、お金がありません。どうやったら資本金を得られるでしょう。

PR

4128a186jpegName : Lameki Aman

Age : 23

Country : Tanzania

Occupation : Farmer

Message: Naweza kutengeneza blauzi.Lakini nahitaji kupata elimu zaidi ili niweze kutengeneza suti.
(I can make blouses. But I want to get more knowledge to make suits.)



名前:Lameki Aman

年齢:23
出身国:タンザニア
職業:農業
メッセージ:ブラウスは作れますが、スーツが作れるようになりたいです

Name : Clement Charles Kisuzi

Country : Tanzania

Occupation : Kumsenga village executive officer

Message : Tatizo kubwa kijijini kwetu ni maji. Hatuna pampu za maji. Watu wanachota maji katika mto mdogo uliopo umbali wa kilomita 3 au 4 hivi.

The biggest problem in our village is water. We don’t have pumps. People get water from a stream 3 or 4 km far.


 お名前:Clement Charles Kisuzi

出身国:タンザニア

ご職業:Kumsenga村の管理人

メッセージ:私たちの村で最大の問題は、水です。村にはポンプ式井戸がありません。住民は3,4km離れた小川から水を得ています。

9184de97jpegName : Valeria Petro

Age : 45

Country : Tanzania

Occupation : Farmer

Message : Nyumba zetu nyingi zimejengwa kwa miti na udongo lakini pia tunaweza kupata nyumba bora kwa kutumia matofali ya kuchoma.

Our houses have been built by poles and mud. But finally we can have good houses by burned bricks.

 



お名前:Valeria Petro
年齢:45
出身国:タンザニア
ご職業:農業
メッセージ:私たちの家は木と粘土で出来ています。しかし、やっと焼レンガのいい家が建てられます。

Name : Charunyoye Myogi

Age : 58

Country : Tanzania

Occupation : Farmer

Message : Mwaka huu hatukuwa na mvua ya kutosha kwa hiyo hatujapata mavuno ya kutosha.Lakini mvua ikinyesha sana,hatupati mavuno mazuri pia.

(This year, we did not get enough rains, so we don’t have enough harvest. But when it rains a lot, we don’t get enough harvest either.)

 



お名前:Charunyoye Myogi
年齢:58
出身国:タンザニア
ご職業:農業
メッセージ: 今年は雨が少なかったので、十分な収穫が得られませんでした。しかし、雨が多すぎても、十分な収穫は得られません。


忍者ブログ [PR]
profile
HP:
search
send your message
we welcome your massege toward Japan. Please fill in the items (name, age, occupation, country, your massage) and send it us. Please note that your data will be used at our website and other info materials.